Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
PICHA YA PAMOJA YA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI NA WAJUMBE WA BODI KATIKA KIKAO KILICHOFANYIKA MNAMO TAREHE 02 MEI 2025 KATIKA UKUMBI WA PSSSF JIJINI DODOMA
Kikao cha 82 cha Bodi ya Wakurugenzi ya COASCO kimefanyika tarehe 02 Mei 2025 katika ukumbi wa Psssf uliopo Jijini Dodoma, Katika kikao hicho kilichoongwa na Mwenyekiti wa Bodi CPA Juma Kimori, kiliwapongeza Mwenyekiti na Wajumbe kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuliongoza Shirika kwa kipindi cha miaka mitatu, CPA Kimori ameahidi kuwapa Ushirikiano Menejiment ya COASCO katika kufikia malengo na kuliwezesha Shirika kusonga mbele