Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi
Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika tarehe 20 Disemba, 2024 limefanya mkutano cha Baraza kuu la Wafanyakazi katika ukumbi wa PSSSF hapa Jijini Dodoma