Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
Dira na Dhima

DIRA

Kuwa Shirika bora na lenye kuaminika katika ukaguzi, usimamizi na ushauri kwa maendeleo endelevu ya ushirika

DHIMA

Kutoa huduma bora za ukaguzi, usimamizi, tafiti na ushauri kwa weledi ili kuimarisha uwazi, uwajibikaji na maendeleo ya vyama vya ushirika