Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Taarifa za ukaguzi wa hesabu kwa Vyama vyote vya Ushirika na Wadau tunaowahudumia, huwa tunazituma kwa wadau baada ya kuzikagua na kuziandaa katika mfumo unaokidhi matakwa ya Taasisi  
Makao makuu ya coasco yapo mkoa wa Dodoma