Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
COASCO & ACFE WATOA MAFUNZO MAALUM YA UCHUNGUZI KWA WAKAGUZI
Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), kwa kushirikiana na Chama cha Wataalamu wa Udhibiti wa Udanganyifu Tanzania (ACFE), wanaendelea kuwajengea uwezo wakaguzi wa Shirika wanaohusika na masuala ya uchunguzi kwa lengo la kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.