Uongozi wa COASCO wakabidhiwa vyeti
Uongozi wa COASCO ulikabidhiwa vyeti siku ya mahafali ya Mafunzo ya Viongozi Vijana Chipukizi yaliyofanyika Mkoani Pwani katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere kuanzia Aprili 7 hadi 12, 2025.