Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
SIKU MUHIMU YA COASCO
SIKU MUHIMU YA COASCO Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) tumepokea gari jipya aina ya Toyota Land Cruiser kwa ajili ya matumizi ya kiofisi ya Mkurugenzi wetu Gari hili ni ishara ya mafanikio yetu pamoja. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii. COASCO inaendelea kukua na kutoa huduma bora zaidi kwa wadau wetu na pia tunatoa Shukrani kwa kuamini maono yetu na kutusaidia kufikia mafanikio haya COASCO #Ukaguzi wa Uhakika#Ushirika Imara