Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
TUTENDE KAZI ZETU KWA KUZINGATIA MAADILI YA UTENDAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa COASCO, CPA Jeremiah J. Mugeta asisitiza kufuata na kutekeleza kanuni za maadili ya utendaji katika utumishi wa umma Ameyasema hayo katika kikao cha Watumishi cha kila mwezi ambacho kimefanyika tarehe 26 Machi 2025 katika Makao Makuu ya Shirika yaliyopo jijini Dodoma