Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
KIKAO CHA WATUMISHI CHA KILA MWEZI
KIKAO CHA WATUMISHI CHA KILA MWEZI KIMEFANYIKA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA MALENGO YA KIKAO • Kupitia maendeleo ya kazi za mwezi uliopita • Kujadili changamoto na fursa za shirika • Kupanga shughuli za mwezi ujao • Kuboresha mazingira ya kazi na ufanisi wa watumishi