MAFUNZO KUHUSU MASUALA YA UHASIBU NA MIFUMO YA TEHAMA
Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) limeendesha mafunzo ya siku tatu kwa Watendaji na Viongozi wa Vyama vya Ushirika pamoja na Wadau wa Ushirika yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Morena iliyopo Morogoro mjini kuanzia tarehe 25 hadi 27 Septemba 2024.