Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
COASCO YAENDESHA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA
26 Sep, 2024 08:00 - 16:00
MOROGORO
info@coasco.go.tz

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) limendesha mafunzo ya siku tatu kwa Watendaji na Viongozi wa Vyama vya Ushirika pamoja na Wadau wa Ushirika yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Morena iliyopo Morogoro mjini kuanzia tarehe 25 hadi 27 Septemba 2024.

COASCO YAENDESHA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA