-
PROGRAM MAALUM YA MAFUNZO KUHUSU KODI
COASCO wakishirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Dodoma wameandaa mafunzo maalum yanayohusu masuala kodi yatakayofanyia Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Safina House -
MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI SUD 2024
COASCO YAVITAKA VYAMA VYA USHIRIKA KUWASILISHA TAARIFA ZAO ZA FEDHA Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa vyama vya Ushirika linashiriki maadhimisho ya SUD 2024 yanayofanyika katika viwanja vya