News In Detail

Title: Bodi ya usimamizi wa vyama vya ushirika yajengewa uwezo


Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika(COASCO), CPA Yona Kilagane, ameushukuru uongozi wa Taasisi ya Uongozi kwa kutoa mafunzo ya Usimamizi bora wa Mashirika ya Umma yatakayowajenga uwezo watendaji katika usimamizi wa Vyama vya Ushirika.


Date Posted: 2023-01-23 10:25:41

View all News