Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
MAONESHO YA NANENANE 2024
04 Aug, 2024 07:00am-17:00pm
DODOMA
info@coasco.go.tz

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) linawakaribisha wadau na wananchi wote katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma,

Maonesho hayo yamefunguliwa tarehe 01 Agosti na yatafikia kilele tarehe 08 Agosti 2024

Karibuni nyote

MAONESHO YA NANENANE 2024