Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
MAFUNZO YA KITAALAM KWA BODI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUHUSU MASUALA YA UONGOZI, KODI, UHASIBU NA TEHAMA
17 Jun, 2026 07:00AM - 17:00PM
KIBAHA
CPA Anna Thomas, 0658 732 050

MAFUNZO YA KITAALAM KWA BODI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUHUSU MASUALA YA UONGOZI, KODI, UHASIBU NA TEHAMA

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) linawakaribisha Viongozi na Watendaji wa Vyama vya Ushirika kushiriki mafunzo ya Uongozi, Kodi, Uhasibu na TEHAMA yatakayofanyika tarehe 17 hadi 19 Juni 2026 katika Ukumbi wa Destiny Kibaha Pwani.

Mafunzo ni ya nadharia na vitendo. Karibu ujifunze na kuongeza ufanisi katika usimamizi wa chama chako.

Gharama za mafunzo ni TSH 350,000 tu kwa kila mshiriki.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0658732050.
 
Ukaguzi wa Uhakika, Ushirika Imara!

MAFUNZO YA KITAALAM KWA BODI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUHUSU MASUALA YA UONGOZI, KODI, UHASIBU NA TEHAMA