Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
Siku ya Ushirika Duniani
06 Jun, 2024 07:00am - 16:00pm
Tabora Ipuli
Mrisho 0756180840

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), lina wakaribisha wananchi na wadau wote wa UShirika nchini katika kuadhimisha maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) 2024,

maadhimisho hayo yatafanyika kuanzia tarehe 29 Juni 2024 hadi tarehe 06 Julai 2024 katika viwanja vya nanenane Ipuli Mkoani Tabora na Mgeni rasmi atakuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim K. Majaliwa (MB)

Siku ya Ushirika Duniani