Je, nitapataje taarifa yetu ya Ukaguzi?
Imewekwa: 14 Jun, 2024
Taarifa za ukaguzi wa hesabu kwa Vyama vyote vya Ushirika na Wadau tunaowahudumia, huwa tunazituma kwa wadau baada ya kuzikagua na kuziandaa katika mfumo unaokidhi matakwa ya Taasisi