Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
MABADILIKO YA TAREHE YA MAFUNZO
16 Apr, 2025
MABADILIKO YA TAREHE YA MAFUNZO

MABADILIKO YA TAREHE YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUHUSU MASUALA YA UHASIBU NA KODI KATIKA UKUMBI WA MABEYO JIJINI DODOMA.

Husika na Kichwa cha Habari hapo juu pamoja na barua yenye Kumb. Na. CA.61/287/01/4 ya tarehe 03.04.2025. 2. Napenda kuwataarifu kuwa programu ya mafunzo maalum kwa vitendo yaliyokuwa yamepangwa kufanyika tarehe 23 hadi 25 April, 2025 katika ukumbi wa JENERALI MABEYO jijini Dodoma yamesogezwa mbele hadi tarehe 14, 15 na 16 Mei, 2025 katika ukumbi tajwa hapo juu.