SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE 2025
08 Mar, 2025

Shirika la ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) limeshiriki katika maadhimishi ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2025 yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Chinangali park hapa Jijini Dodoma