Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

COASO Logo
MWALIKO WA MAFUNZO YA KITAALAM KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUHUSU MASAUALA YA UHASIBU, KODI, UKAGUZI WA NDANI NA TEHAMA
30 Aug, 2026


Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) linawakaribisha Viongozi na Watendaji wa Vyama vya Ushirika kushiriki mafunzo ya Uongozi, Kodi, Uhasibu na TEHAMA yatakayofanyika tarehe 23 hadi 25 september 2026 katika Ukumbi wa Mabeyo  Dodoma. Mafunzo ni ya nadharia na vitendo. Gharama za mafunzo ni TSH 350,000 tu kwa kila mshiriki.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0658732050.

Ukaguzi wa Uhakika, Ushirika Imara!