SIKU MUHIMU YA COASCO
28 Jul, 2025

SIKU MUHIMU YA COASCO
Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) tumepokea gari jipya aina ya Toyota Land Cruiser kwa ajili ya matumizi ya kiofisi ya Mkurugenzi wetu Gari hili ni ishara ya mafanikio yetu pamoja. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii. COASCO inaendelea kukua na kutoa huduma bora zaidi kwa wadau wetu na pia tunatoa Shukrani kwa kuamini maono yetu na kutusaidia kufikia mafanikio haya
COASCO #Ukaguzi wa Uhakika#Ushirika Imara