Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika
(COASCO)
Yona S.M. Killagane
Mwenyekiti wa Bodi
Jeremiah J. Mugeta
Kaimu Mkurugenzi Mkuu
Previous
Next
Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) tarehe 21 Agosti 2024 limefanya kikao cha Kamati ya Bodi ya Ukaguzi kupitia Rasimu ya Taarifa za Fedha (Draft Financial Statement) kwa ajili ya kuwasilisha kwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) katika ukumbi wa mikutano wa Shirika uliopo katika Makao makuu ya Shirika Jijini Dodoma
Katika kikao hicho kilichoongozwa na Bw Florian Haule, amelitaka Shirika kuongeza juhudi za kiutendaji ili kuleta tija kwa Vyama vya Ushirika na pia amewapongeza Watumishi kwa ushirikiano wao katika kuleta maendeleo ya Shirika